Home › Ringtones › Sunina - Otile Brown & Jovial

Sunina - Otile Brown & Jovial

free ringtone for iPhone & Android phones

@Adam
34
30 Sec
Top 100 Naruto Ringtones
Top 100 Among Us Ringtones
Top 100 Minecraft Ringtones

Similar ringtones:

MORE...[+]
Top 100 Game Bgm Ringtones
Top 100 Toca Boca Ringtones
Top 100 Free Fire Ringtones
Top 100 GTA5 Ringtones
Top 100 Roblox Ringtones

More ringtones from Otile Brown & Jovial:

30
@Hilda
2,265
Ooh yeah, Beiby This one for the true lovers Just In Love Music Hey naumia moyo Beiby... yeah mmh Ningekuwa mng'ata hii dunia Ooh mi amor Ila ndo nisije jaliwa Sina la ku offer Zaidi ya mapenzi ya dhati Hali yako naielewa Wala usijali, nimekubali ilivyo Kwako nimelowa Nilidhani nitaelea nikajihisi mia, ooh My cherie Hata na pasi nasa nayo ooh beiby My hunnie Hata balobi natika yoh jameni My cherie Hata na pasi nasa nayo ooh beiby My hunnie Hata balobi natika yoh jameni Kwenye shida na raha, aah-aah Kwa kumbato lako ni sawa, sawa Kwa maradhi sihitaji dawa, dawa Kwa busu lako baba ni sawa, sawa Hali mradi niko na wewe(iyee, iyee aaah) Hali mradi niko na wewe(iyee, iyee aaah) Hali mradi niko na wewe(iyee, iyee aaah) Hali mradi niko na wewe(iyee, iyee aaah) Hatuna king-size bedi ila twalala(twalala) Haila za burger, ila twala(twala) Umeridhia moyo Kwa penzi lako la dhamani Hatuna king-size bedi ila twalala(twalala) Burger, ila twala(twala) Umeridhia moyo Kwa penzi lako la dhamani My cherie Hata na pasi nasa nayo ooh beiby My hunnie Hata balobi natika yoh jameni My cherie Hata na pasi nasa nayo ooh beiby My hunnie Hata balobi natika yoh jameni Kwenye shida na raha, aah-aah Kwa kumbato lako ni sawa, sawa Kwa maradhi sihitaji dawa, dawa Kwa busu lako baba ni sawa, sawa Hali mradi niko na wewe(iyee, iyee aaah) Hali mradi niko na wewe(iyee, iyee aaah) Hali mradi niko na wewe(iyee, iyee aaah) Hali mradi niko na wewe(iyee, iyee aaah)
30
@Ajlin
804
See your smile,See your body hips don't lie Why you fine though,Now am your case now see my life See the smile, see the body hips don't lie Am so fine oooh Now you my case now see your life Nimehata namba yako nina muda nikugie Aaacha pupa yako nipe muda nifikirie Trip ya Paris unasema bado Begi la Shanel unadai bado Unanikomoa mama hadi bando Niambie mama utakalo sawa Niambie mama usemalo sawa Cause am so in love mama utakalo sawa Niambie mama usemalo sawa Zichune ooh yeey basi nikomoe unimalize Ooh basi nifilisi unimalize I know what I got to make you fall in love with me I know you don't love me i know you just want to tap in.Baba wee Mapenzi shamba uyapande uyavune... Kuwa nawe Mapenzi kulishana unilishe nami kulishe Nasema we ni poko poko poko nyoko Kama mzigo uko soko soko soko soko Nasema acha longolongo nisije rigreti nisije rigreti Acha fuka phone call phone call phone call phone call Lazima utoboke mitoboko boko boko Mwenyewe umeja kwenye mboko mboko mboko mboko Niambie mama utakalo sawa Niambie mama usemalo sawa Cause am so in love mama utakalo sawa Niambie mama usemalo sawa Zichune ooh yeey basi nikomoe unimalize. Alright basi nifilisi unimalize
30
@Ellinor
548
Jinsi anavyo cheza nikama aninitega (no way) Macho yake yenye mvuto nikama ananiita (no way) Huo mdomo anavyo ung'ata pumzi inaniisha (no way) Kiuno nazi nazi anavyo katika (no way) Now she started blowing me kisses (Aaah) Kaja Mwenyewe kasema Hey Mr. would you hold my hands naomba nicheze na wewe Basi simama tucheze (kistaarabu kistaarabu) Nishike nikushike (kistaarabu kistaarabu) Katu usiniache (kistaarabu kistaarabu) Ah sema mina mpango na wewe Wala Usiwe na kiwewe Hapa nkaja mwenyewe Ila naomba niwe na wewe Kama huu nakuhitaji Sijui ukaja na Nani Ila naomba uwe nami " Uuh kumbe toto la kigogo, kigogo, Kigogo Up town ila chapo mandondo, mandondo, mandondo Kaanza kurukaruka tu kibobo, kibobo, kibobo Nikasema " hey hey am a classic man Niite mr gantleman Mbona husle man Tusije pakana jasho man Nikasema " hey hey am a classic man Niite mr gantleman Mbona husle man Tusije pakana jasho Basi simama tucheze (kistaarabu kistaarabu) Nishike nikushike (kistaarabu kistaarabu) Katu usiniache (kistaarabu kistaarabu) Mmh mmh marashi kwenye nyele zako Harufu ya ngozi yako Ina nipaga manjonjo Nimejikoki sio kidogo Mmh mmh marashi kwenye nyele zako Harufu ya ngozi yako Ina nipaga manjonjo Nimejikoki sio kidogo Basi simama tucheze (kistaarabu kistaarabu) Nishike nikushike (kistaarabu kistaarabu) Katu usiniache (kistaarabu kistaarabu) Simama tucheze (kistaarabu kistaarabu) Nishike nikushike (kistaarabu kistaarabu) Katu usiniache (kistaarabu kistaarabu) Simama tucheze (kistaarabu kistaarabu) Nishike nikushike (kistaarabu kistaarabu) Katu usiniache (kistaarabu kistaarabu)
15
@Ruaridh
306
Mtoto umedamshi Oooh nah nah nah, oh nah nah Oooh nah nah nah, oh nah nah Oooh nah nah nah, oh nah nah Oooh nah nah nah, oh nah nah Mtoto umedamshi, mtoto umedamshi Mtoto umedamshi, mtoto umedamshi Mtoto umedamshi, mtoto umedamshi Mtoto umedamshi, mtoto umedamshi Mungu kakuumba aah, kakutengeneza Unavodamshi, umenipendeza Unanikosha unavocheza Kaja ketepa na mandom mama Njoo nami nikupe fam Hakika mama nina mipango, njoo nikushow Natamani ningekujua kitambo Since before yeah Maana ma we mzuri, mi nakutamani Huna kiburi, nitakufunda ndani Maana ma we mzuri, mi nakutamani Huna kiburi, nitakufunda ndani Nina imani hata ni kwa neema Mi nawe kukutana bali kwa neema Sio bure, sio bure Nina imani hata ni kwa neema Mi nawe kukutana bali kwa neema Sio bure Oooh nah nah nah, oh nah nah Oooh nah nah nah, oh nah nah Oooh nah nah nah, oh nah nah Oooh nah nah nah, oh nah nah Mtoto umedamshi, mtoto umedamshi Mtoto umedamshi, mtoto umedamshi Mtoto umedamshi, mtoto umedamshi Mtoto umedamshi, mtoto umedamshi Mtoto una teke, tena yenye matege Na kiuno cha wembe unakata ka machette love Unakata kama machette love Mtoto una teke, tena yenye matege Na kiuno cha wembe unakata ka machette love Unakata kama machette love Maana ma we mzuri, mi nakutamani Huna kiburi, nitakufunda ndani Maana ma we mzuri, mi nakutamani Huna kiburi, nitakufunda ndani Nina imani hata ni kwa neema Mi nawe kukutana bali kwa neema Sio bure, sio bure Nina imani hata ni kwa neema Mi nawe kukutana bali kwa neema Sio bure (Vicky pon dis) Oooh nah nah nah, oh nah nah Oooh nah nah nah, oh nah nah Oooh nah nah nah, oh nah nah Oooh nah nah nah, oh nah nah Mtoto umedamshi, mtoto umedamshi Mtoto umedamshi, mtoto umedamshi Mtoto umedamshi, mtoto umedamshi Mtoto umedamshi, mtoto umedamshi
30
@George
153
In this world of fakery, I've never seen something realer Real than your love Girl you know I ride for your love Coz I know that you ride for my love And you don't have to say it You know a shoot for your love I lay em down for your love Girl you that I ride for your love This world of fakery, I've never seen something realer Real than your love Girl you know I ride for your love Coz I know that you ride for my love And you don't have to say it You know I shoot for your love I lay em down for your love Girl you know that I ride for your love Maybe you shoulda gone Maybe you shoulda talk Now a man dead lying on the floor I let that thing loose Now I'm confused Girl I knew that one day your love gon be the end of me But I don't care as long you down for me I knew that one day your love be the end of me But the question is would you still ride for me Would you still ride for me In this world of fakery, I never seen something realer Real than your love Girl you know I ride for your love Coz I know that you ride for my love And you don't have to say it You know a shoot for your love I lay em down for your love Girl you know that I ride for your love I dropped them bodies dead for you girl If she hates I hate for no reason But if she fucks with you then I'm down with you brother That how rock with each other Girl I knew that one day your love gon be the end of me But I don't care as long you down for me I knew that one day your love be the end of me But the question is would you still ride for me In this world of fakery, I never seen something realer Real than your love Girl you know I ride for your love Coz I know that you ride for my love And you don't have to say it You know a shoot for your love I lay em down for your love Girl you know that I ride for your love
MORE...[+]

Set Sunina ringtone on an Android Phone:

1. Select Download Ringtone button above.
2. Go to Settings app.
3. Select Sounds & Vibration.
4. Select Phone ringtone.
5. Select Ringtone from Internal Storage.
6. Click the Apply button.
So after only a few basic steps, you have successfully done the default ringtone on your phone running Android operating system with the pop songs you want.



Set Sunina ringtone for your iPhone:

1. Select Download M4R for iPhone button above and save to your PC or Mac.
2. Connect your iPhone to your PC or Mac via its charging cable.
3. Launch iTunes and drag the .m4r to the Tones folder (Under "On My Device").
Hopefully, the guides for configuring ringtones for iPhones and Android phones will make it simple for you to replace the uninteresting default sounds on your phone with your own personal favorites.



Browse 5,000,000+ free ringtones by categories:

Thanks for letting us know
Your feedback is important in helping us keep the 1Ringtone community safe.
Close

X

#1 Ringtone App - top ringtones for free!

logo
Login with Google Login with Facebook

By joining, you agree to Terms of Service & Privacy Policy.

Upload a ringtone

You can upload MP3, WAV, M4A, OGG, M4R, ACC format files.

By selecting 'Upload' you are representing that this item is not obscene and does not otherwise violate Terms of Service, and that you own all copyrights to this item or have express permission from the copyright owner(s) to upload it.

Before uploading, please read our Privacy.