Home › Ringtones › Keroro - Nonini Mgenge2Ru

Keroro - Nonini Mgenge2Ru

free ringtone for iPhone & Android phones

@Ada
114
25 Sec

Keroro - song lyrics

Yeah, we're recording?
Sawa, cue me, twende tena
Ah, yeah, oh
Hii ngoma ni ya wale watu wanapenda kwenda maclub huku kenya
Na wale watu wanaingianga club wanatoka asubuhi na mapema
Na wale watu wanapenda kupewa
Ata ka shindano dunga kwa mkono bora ufike kwa hewa
Ha, another Homeboyz Produc-shizzle, yeah

Wajua nimeshindwa kusema jina yangu Nonini?
Wajua nimeshindwa kusema jina yangu Nonini?
Kwa nini? Kwa nini? Kwa nini? Kwa nini?
Keroro, keroro, keroro, keroro
Niko gauge jo, niko maji jo
Niko keroro

Hakuna kitu naona kwa hii club ispokuwa beer yangu na watoto
Kwanza kwa counter kuna moja ananipiga usoro
Namyemelea huku nikist-sta-stagger
Ananiangalia vibaya lakini mi najua ywanitaka
"Mko wawili ama naona vitu zangu?"
"Nta acha kuenda kwa mama pima kukunywa ng'ang'o"
Wanukia poa kwani umejipaka nini?
Mmh, na nahope pia umejipaka huko chini

Asubuhi ikifika, jo, hii club mi sitoki
Bila we' nimekukunja, jo, ndani ya hii koti
Ebu kwanza simama nikague hizo vitu
Nikiona zimesimama lazima, jo, nitakutibu
Eh, na zimesimama, lakini nikuulize swali
Umevaa chupi ngapi, jo, hapo ndani?
Usiniongeleshe kingoso, jo, kwani we' ni mlami?
Leo nimebeba CD zangu, ah-ah sidhani
Trust yangu haiko na bado waeza sema nami
Sina Trust na bado waeza sema nami

Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji)
Niko keroro
Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji)
Niko keroro
Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji)
Niko keroro
Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji)
Niko keroro

Amniotic fluid ndio hukuanga ndani ya tumbo ya mamatha
Lakini mi husema kitu moja jo
I'd rather ingekuwa ni keroro iko huko ndani ya tumbo
Na nikisha waka huko ndani, matha anapiga makumbo
Leo nataka kuona kila mtu kwa club amewaka
Vuta blunt combine na tembe jo, mpaka
Utemebee na magoti ka kobe, hakuna haraka

Ah, jamaa, skizeni, skizeni
Na mpango, na mpango ya jet fluid, kuna row?
Kuna row? (Iko, iko)
Sawa, sawa, sawa

Alafu tunaidilute na chupa moja ya miti ni dawa
Make sure trou' kwa magoti umeifunga na kamba, kaza
Baada ya kupewa kuwa ready kuharwa
Na ka we ni manzi kuwa ready ku- (si unisare)
Kuwa ready kurushwa ma-Timb boots ka umezing'ara
Steam haimatter, kupewa, kichuri au kuchana
Si tumezoea kuingia bar saa tatu usiku na wasichana
Na tunatoka siku ya pili, saa saba mchana

"Jamaa naskia kutapika
Kwanza, kwanza huyo mjamaa ntampiga
Ngoja, ngoja kwanza phone yangu iko wapi?
Phone iko wapi?"

Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji)
Niko keroro
Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji)
Niko keroro
Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji)
Niko keroro
Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji)
Niko keroro

Nikiamka asubuhi kila siku ni mkate na beer
Nikiwa mgonjwa drip water bado ni beer
Saa sita nimeingia home wife hajatuna ametulia
Nikatoa nguo zangu mdogo, mdogo, nikampandilia
Vile anamorale jo, anajua leo lazima atalia
Nikampandilia lakini vile nilikuwa gauge nikasinzia
Ndio maana bibi zetu jo, sikuizi wanazusha
Sababu ya kuwaka daily jo, wamesindwa kuwachangamsha

Hatuangali maslahi ya jamii
Lakini daily ntakuwa keroro, kwani?
Dunia nzima hakuna beer ka ya Nairobi
Na ka unafikiria nakudanganya kaulize Robert Warobi
Niko gauge, niko maji
Mpaka nauliza Musyoka hii verse itaenda aje

"Musyoka hii verse itaisha aje?"
"Musyoka hii verse itaisha aje?"

Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji)
Niko keroro
Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji)
Niko keroro
Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji)
Niko keroro
Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji)
Niko keroro

Top 100 Free Fire Ringtones
Top 100 Game Bgm Ringtones
Top 100 Among Us Ringtones

Similar ringtones:

MORE...[+]
Top 100 World of Warcraft Ringtones
Top 100 Bollywood Ringtones
Top 100 Roblox Ringtones
Top 100 Black Desert Ringtones
Top 100 GTA5 Ringtones

Set Keroro ringtone on an Android Phone:

1. Select Download Ringtone button above.
2. Go to Settings app.
3. Select Sounds & Vibration.
4. Select Phone ringtone.
5. Select Ringtone from Internal Storage.
6. Click the Apply button.
So after only a few basic steps, you have successfully done the default ringtone on your phone running Android operating system with the pop songs you want.



Set Keroro ringtone for your iPhone:

1. Select Download M4R for iPhone button above and save to your PC or Mac.
2. Connect your iPhone to your PC or Mac via its charging cable.
3. Launch iTunes and drag the .m4r to the Tones folder (Under "On My Device").
Hopefully, the guides for configuring ringtones for iPhones and Android phones will make it simple for you to replace the uninteresting default sounds on your phone with your own personal favorites.



Browse 5,000,000+ free ringtones by categories:

Thanks for letting us know
Your feedback is important in helping us keep the 1Ringtone community safe.
Close

X

#1 Ringtone App - top ringtones for free!

logo
Login with Google Login with Facebook

By joining, you agree to Terms of Service & Privacy Policy.

Upload a ringtone

You can upload MP3, WAV, M4A, OGG, M4R, ACC format files.

By selecting 'Upload' you are representing that this item is not obscene and does not otherwise violate Terms of Service, and that you own all copyrights to this item or have express permission from the copyright owner(s) to upload it.

Before uploading, please read our Privacy.